• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ardhi na Maliasili

MAJUKUMU YA SEKTA YA ARDHI

Sekta ya Ardhi ina jukumu la kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Kanuni zinazohusiana na masuala mbalimbali ya upatikanaji wa Ardhi, upangaji, upimaji na umilikishwaji .Katika kutekeleza jukumu hili kubwa na muhimu, sekta hii inatimiza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria ya Ardhi Na.4 na 5 za 1999, Sheria ya Upimaji Ardhi ya 1957,Sheria ya Mipango Miji Na.8 ya 2007, Sheria ya Utwaaji Ardhi Na.47 ya 1967, Sheria ya Usajili wa Ardhi iliyorekebishwa mwaka 2002, Sheria ya mipango ya matumizi bora ya Ardhi ya 2007, Sheria ya utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Na.2 ya 2002 na kanununi zake za 2003, Sheria  ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Wilaya) ya 1982 na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Mji) ya 1982 n.k.

Sheria hizi pamoja na Kanuni zake ni miongozo inayowezesha na kurahisisha utendaji na utekelezaji wa majukumu kwa wataalam wote katika hali ya ufanisi na kwa viwango bora visivyo na tofauti,hata hivyo, kujituma, uaminifu , uadilifu na mawasiliano ya karibu kati ya watendaji ni mbinu pekee ya ufanisi unaopatikana sambamba na huduma bora kwa wananchi.

Majukumu ya kila sekta, malengo, utekelezaji na changamoto yameainishwa kama ifuatavyo

    ARDHI UTAWALA

  • Sekta hii ni sehemu ya idara ya Ardhi na Maliasili, ambayo inajukumu la usimamizi wa Ardhi na utawala, ikihusu Maafisa Ardhi,
  • Kutoa huduma kwa Wananchi wenye mahitaji ya masuala ya Ardhi, uandaaji nyaraka za umiliki, uhamisho urejeshaji, ukaguzi wa viwanja na mashamba, kutoa ushauri wa kisheria kuhusu miliki za Ardhi na utatuzi wa Migogoro ya Ardhi.
  • Kukusanya maduhuri ya serikali yatokanayo na Kodi ya pango la Ardhi
  • Kutatua migogoro ya Ardhi
  •      Kuhamasisha utengaji wa maeneo ya uwekezaji wa Viwanda kupitia Mikutano ya   Halmashauri za Vijiji.
  •  Kuandaa rasimu za hati miliki
  •      Kuwafungulia mashtaka ya madai ya kodi ya pango la Ardhi  wadaiwa sugu waliokwisha          tumiwa ilani za madai ya kodi.    
  •  Kuingiza kumbukumbu za umiliki wa viwanja na mashamba katika mfumo.
  •   Kupokea maombi ya kumilikishwa viwanja
  •   Kuidhinisha ramani za ujenzi wa viwanja
  •   Kusimamia urejeshaji wa miliki na uhamisho wa miliki 
  •   Kufanya ukaguzi wa Maeneo yaliyoiva kimpango mji kwa ajili ya kuendelezwa kimji

MIPANGO MIJI

  • Kubainisha mipaka ya Wilaya kati ya Mkuranga na Wilaya nyingine zinazotuzunguka. Mfano; Mpaka kati ya Mkuranga na Manispaa ya Ilala na mpaka kati ya Mkuranga na Wilaya ya Kisarawe.

Kupima viwanja katika maeneo mbalimbali Wilayani Mkuranga kama Kisemvule,Mkokozi, Kazole.

  • Kuandaa  ramani za msingi katika maeneo mbalimbali  ya Wilaya ya Mkuranga.
  • kuandaa na kupitisha  plan za Hati (Deed Plans)
  • Kutoa vibali vya upimaji pamoja na kuwasilisha ramani za upimaji Wizarani
  • Kuomba ufutaji wa upimaji mbalimbali ili upimaji mpya ufuate mpango uliyopo.

  • Sehemu ya Uthamini

    Majukumu ya mthamini ni:

    • Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi
    • Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye komputa
    • Kupokea maombi na kufanya uthamini wa ardhi, mazao,majengo na samani
    • Kukagua, kupima na kuoanisha thamani ya majengo na ardhi kwa ajili ya kumbukumbu
    • Kukadiria kodi ya ardhi
  • Majukumu ya afisa misitu ni kama ifuatavyo:

    • Kutoa elimu ya Hifadhi ya Mazingira, kuhimiza uoteshaji miche ya miti na upandaji miti
    • Kutoa elimu juu ya utengaji wa misitu ya asili na utunzaji wa misitu ya asili 
    • Kusimamia hifadhi ya wanyamapori na hifadhi za misitu
    • Kutoa elimu ya hifadhi ya mazingira ,ardhi na vyanzo vya maji.
  • Sehemu ya wanyamapori

    Majukumu ya afisa wanyamapori ni:

    • Kuthibiti utoaji wa leseni za biashara ya nyara na vibali vya kukamata wanyamapori
    • Kuthibiti matumizi haramu ya leseni za uwindaji na kuhakikisha kufuatwa kwa maadili katika kutumia wanyamapori
    • Kushiriki katika kusuluhisha migogoro ya matumizi ya wanyamapori
    • Kuthibiti matumizi haramu ya wanyamapori
    • Kufanya kazi za kuzuia ujangili
    • Kufuatilia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya uhifadhi wa wanyamapori
    • Kukusanya taarifa na takwimu za uhifadhi wanyamapori
    •  Huduma za jamii zinazotolewa
    • Kurasimisha  makazi holela
    • Kuandaa michoro ya mipango miji kwa maeneo ambayo hajaendelezwa
    • Kuwasiliana na wateja kuhusu Hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA NNE KWA SHULE ZA MKURANGA January 18, 2021
  • TANGAZO LA BARAZA MADIWANI MKURANGA January 26, 2021
  • USAILI WA WATENDAJI WA VIJIJI NA MTUNZA KUMBUKUMBU September 13, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MWANDENGE KIDATO CHA KWANZA December 16, 2020
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • WAZIRI MWAMBE AAGIZA AFISA KAZI AKAGUE VIWANDA MKURANGA...

    March 16, 2021
  • DC. MKURANGA APONGEZA UFAULU SEKONDARi...

    March 16, 2021
  • WAITARA AWAAGIZA (NEMC) KUJENGA MAHUSIANO NA OFISI ZA WILAYA....

    March 15, 2021
  • TUZO KWA WALIOFANYA VIZURI ZATOLEWA

    March 12, 2021
  • Tazama vyote

Video

Madiwani wajidhatiti kutoa huduma bora kwa wananchi
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.Haki zote zimehifadhiwa