• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Maji

     

MAJUKUMU YA IDARA NA MAJUKUMU YA MKUU WA IDARA

 

IDARA YA MAJI
MAJUKUMU YA MKUU WA IDARA
 
  • Kuboresha na kusimamia utekelezaji mikakati iliyo kwenye Halmashauri inayohusiana na utafiti, utunzaji na uratibu wa Rasilimali za maji chini na juu ya Ardhi
  • Kuboresha bajeti ya mwaka iliyoandaliwa na Idara/Kitengo
  • Kuboresha na Kusimamia Uchimbaji wa Visima , Kusanifu Ujenzi wa visima na Kuhakiki uwezo wa kisima kutoa maji (Pumping test)
  • Kuratibu ukusanyaji wa takwimu zinazohusiana na rasilimali maji katika Halmashauri.
  • Kuandaa na kuboresha idadi na ubora wa vifaa vya kiufundi vinavyotakiwa kununuliwa na Kitengo/Idara.
  • Kufanya tathimini mara kwa mara  na kuangalia uwezo wa Halmashauri katika upatikanaji wa rasilimali maji.
  • Kuandaa mapendekezo ya Miradi ya rasilimali maji katika Halmashauri
  • Kuboresha mikakati, ukarabati na ufanisi  katika mitandao ya maji.
  • Kuboresha usanifu yakinifu uliofanya na Idara/Kitengo au Kampuni binafsi (Consultancy) inayohusiana na miradi ya Ralimali maji.
KITENGO CHA UTAFITI WA MAJI CHINI YA ARDHI NA MAJUKUMU YAKE
  • Kufanya utafiti wa Maji chini ya Ardhi (Hydrogeological and Geophysical Survey) ili kubaini wapi kisima chaweza kuchimbwa na kutoa matokeo ya upatikanaji wa Maji
  • Kusimamia Uchimbaji wa Visima , Kusanifu Ujenzi wa visima na Kuhakiki uwezo wa kisima kutoa maji (Pumping test)
  • Kukusanya sampuli za maji kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa kimaabara ili kuhakikisha wananchi wanapata maji Safi na salama
  • Kufanya tathimini ya wingi wa maji na Mshuko  katika visima na vyanzo vingine vya Maji (Water Levels).
  • Kutathimini (Monitoring) Rasilimali za maji chini ya Ardhi, kwenye sehemu ya kidakio cha maji (Sub-Catchments)
  •  Kuandaa bajeti ya kitengo cha utafiti wa Maji.
KITENGO CHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI NA MAJUKUMU YAKE
  • Kufanya usanifu yakinifu wa miradi ya maji inayotekelezwa, itakayotekelezwa ndani ya Halmashauri
  • Ujenzi, Ukarabati na usimamizi wa mitandao ya miradi ya maji ya Halmashauri
  • Kuandaa bajeti ya kitengo cha ujenzi wa miundombinu  ya Maji.
  • Utayarishaji, uandikaji wa taarifa za robo, nusu, mwaka na ya mwaka mzima zinazohusu Rasimali maji katika Halmashauri.
  • Ukusanyaji na uchambuzi wa takwimu zote za Halmashauri zinazohusu rasilimali maji na kuzifanyia upembuzi yakinifu.
  • Kuhamasisha na kuelimisha wananchi juu ya masuala yote yanayohusu utunzaji na uendelezaji wa miradi ya Rasilimali maji

MIRADI ILIYOKAMILIKA

  1. MRADI WA MAJI MVULENI

UPO KATA YA NYAMATO, KIJIJI CHA MVULENI

MRADI UMEGHARIM JUMLA TSH 487,903,456

 

  1. MRADI WA MAJI NYANDUTURU

UPO KATA YA NYAMATO, KIJIJI CHA NYANDUTURU

MRADI UMEGHARIM JUMLA TSH 252,327,000

  1. MRADI WA MAJI TIPO

UPO KATA YA NYAMATO, KIJIJI CHA TIPO

MRADI UMEGHARIM JUMLA TSH 415,567,700

  1. MRADI WA MAJI KILAMBA

UPO KATA YA NYAMATO, KIJIJI CHA KILAMBA

MRADI UMEGHARIM JUMLA TSH 285,231,900

  1. MRADI WA MAJI BUPU

UPO KATA YA BUPU, KIJIJI CHA BUPU

MRADI UMEGHARIM JUMLA TSH 315,957,050

 

MIRADI INAYOENDELEA 

Yavayava

Mlamleni

Mwanambaya

Kimanzichana

Mkerezange

Ng’ore

Mbulani

Mdimni

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA NNE KWA SHULE ZA MKURANGA January 18, 2021
  • USAILI WA WATENDAJI WA VIJIJI NA MTUNZA KUMBUKUMBU September 13, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MWANDENGE KIDATO CHA KWANZA December 16, 2020
  • WALIOFAULU USAILI WA KUANDIKA September 21, 2020
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • Madiwani Mkuranga wabadilisha matumizi kujenga Madarasa

    January 06, 2021
  • Dkt Dugange aziagiza Halmashauri kufikia lengo katika makusanyo

    January 05, 2021
  • Pwamao yatoa vifaa kwa Walemavu Mkuranga

    December 19, 2020
  • DED Mkuranga apongezwa kwa usimamizi wa Uchaguzi

    December 16, 2020
  • Tazama vyote

Video

Madiwani wajidhatiti kutoa huduma bora kwa wananchi
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.Haki zote zimehifadhiwa