• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Madiwani Mkuranga wabadilisha matumizi kujenga Madarasa

Posted on: January 6th, 2021

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani limefanya mabadiliko ya  matumizi ya fedha kutoka katika Miradi mingine na kuzipeleka fedha hizo katika sekta ya Elimu kwa lengo la kuongeza Madarasa katika majengo ya Shule za Sekondari hatimaye kuhakikisha agizo liliotolewa na  Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa la kuhakikisha wanafunzi wote waliokosa nafasi katika uteuzi wa awali wawe darasani na wamekaa katika Madawati linakamilika ifikapo Februari 28 mwaka huu,

Akiwasilisha Miradi iliyobadilishwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Mhandisi Mshamu Munde ameitaja ni pamoja na Mazingira, Mifugo, Ardhi na Miradi mingine ni Maliasili, Fedha na Ujenzi ambazo zote zitagharimu kiasi cha shilingi Milioni 535.5.

Aidha zoezi hilo litaendana na utengenezaji wa Madawati na matundu ya Vyoo sambamba na kuhakikisha wanajipanga vema kukabiliana na changamoto hizo kwa mwaka ujao kwa kujenga madarasa zaidi na ikiwezekana kujenga hata shule mpya shikizi za sekondari.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mohamedi Mwela aliwapongeza Madiwani kwa kukubali mapendekezo ya Kamati ya Fedha na Mipango huku akiziagiza kamati za Maendeleo za Kata kuhamasisha Wazazi kuchangia chakula Mashuleni ili kumfanya wanafunzi awe na uelewa mpana na kumwezesha kufanya vizuri akiwa darasani.

Mwela alitumia fursa hiyo kuliomba Baraza hilo kuanza mchakato wa kuanzisha Mamlaka ya Mji mdogo wa Mkuranga hatimaye kusukuma mbele gurudumu la maendeleo kwa wananchi wa Mkuranga kwa ujumla.

Akitoa salamu za Serikali Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga aliagiza Walimu Wakuu kutochangisha wanafunzi mara wanapoajiunga na kidato cha kwanza au Darasa  la Kwanza huku akimwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri Mhandisi Mshamu Munde awataje wafadhili mbalimbali wanaochangia katika Miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuwatia moyo.

Halmashauri inahitaji kuongeza jumla ya vyumba 73 vya Madarasa, vyoo matundu 166 na Madawati 3627 ili kuwezesha wanafunzi 3627 waliokosa nafasi kupata nafasi hiyo mara ifikapo Februari 28 Mwaka huu.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA NNE KWA SHULE ZA MKURANGA January 18, 2021
  • TANGAZO LA BARAZA MADIWANI MKURANGA January 26, 2021
  • USAILI WA WATENDAJI WA VIJIJI NA MTUNZA KUMBUKUMBU September 13, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MWANDENGE KIDATO CHA KWANZA December 16, 2020
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • Naibu waziri aipongeza Raddy Fibre kuwekeza sekta ya mawasiliano

    February 26, 2021
  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA BAJETI YA BILIONI 49.7...

    February 18, 2021
  • HALMASHAURI MKURANGA YAJIPANGA KUTEKELEZA MUONGOZO WA TANISEMI KWENYE BAJETI...

    February 15, 2021
  • DC MKURANGA AWATAKA WATENDAJI KUFANIKISHA UKUSANYAJI KODI YA MAJENGO....

    February 14, 2021
  • Tazama vyote

Video

Madiwani wajidhatiti kutoa huduma bora kwa wananchi
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.Haki zote zimehifadhiwa