• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuranga watakiwa kuchangamkia fursa katika zao la muhogo

Posted on: September 27th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Filberto Sanga ameipongeza kampuni ya Tanzania huafeng Agriculture Development Limited kutoka China kwa kuwekeza kiwanda cha kuchakata muhogo mbichi ndani ya Wilaya hiyo hali itakayochangia wakulima kujikwamua kiuchumi.

Akifungua kikao cha wadau wa muhogo kwenye ukumbi wa kituo cha upashanaji Habari Kiguza, Sanga aliwataka Maafisa ugani Kata zote 25 washirikiane na Kituo cha utafiti wa mazao ( TARI ) Kibaha ili wakulima kwenye Vitongoji wapate mbegu bora na dawa ya kuuwa wanaoshambulia zao hilo hatimaye lilete tija na kuwa mbadala wa zao kuu la korosho.

Aidha Mwenyekiti huyo wa kamati ya ulinzi na usalama Wilaya alimwagiza Mkuu wa idara ya Kilimo umwagiliaji na ushirika ( DAICO ) Julitta Bulali kusimamia uanzishwaji wa mashamba darasa katika kata zote sambamba na kuimarisha vyama vya msingi ( AMCOS ) na vikundi ili vifaidike na mikopo ya Halmashauri ya Wilaya na Taasisi mbali mbali za fedha.

Wadau mbali mbali wa zao hilo walipata fursa ya kupendekeza bei kwa wawakilishi wa kampuni hiyo wakiomba bei waliyopanga Shilingi 80 kwa kilo kuonekana ndogo ukilinganisha na gharama za utayarishai wa mashamba hadi kuvunwa kwa zao hilo.

Kikao hicho kilichohudhuriwa na Maafisa Tarafa, TCCIA, MEDA na TARI kitaendelea tena Jumatano tarehe 2 octoba baada ya watafiti, wataalamu na Mwekezaji kukutana na kufikia muafaka wa bei halisi itakayokidhi mahitaji ya kila upande kati ya mkulima wa zao hilo pamoja na mwekezaji.

Akiweka jiwe la msingi kwenye kiwanda hicho kilichopo Kijiji cha Mkenge Agosti mwaka huu Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo aliagiza kufanyika kikao hicho sambamba na wilaya zote Mkoani Pwani kujipanga katika kilimo cha muhogo ili kutosheleza mahitaji ya kiwanda hicho ambapo kwa siku kina uwezo wa kupokea tani 200 hadi 1000 za muhogo.

Matangazo

  • WALIOFAULU INTERVIEW YA UDEREVA October 09, 2019
  • TANGAZO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA June 11, 2019
  • TANGAZO LA MKUTANO WA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI May 14, 2019
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • Mkuranga yazindua Kampeni "Nyuki ni Fursa Tuitumie Mkuranga"

    December 04, 2019
  • Rita kutoa Vyeti kwa watoto wote chini ya Miaka mitano Mkuranga

    December 03, 2019
  • Mkuu wa Wilaya atoa maelekezo kwa wenyeviti wapya

    December 02, 2019
  • Mkuranga yapokea pakiti 264600 kutoka SOLEO

    November 28, 2019
  • Tazama vyote

Video

Madiwani wajidhatiti kutoa huduma bora kwa wananchi
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara
  • Fomu za Maombi ya Kiwanja

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.Haki zote zimehifadhiwa