• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATOA BIL. 16.1 KUENDELEZA SEKTA YA ELIMU MKOA WA PWANI

Posted on: December 3rd, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema Serikali ya awamu ya tano imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 16.1 kuendeleza sekta ya Elimu ndani ya Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha Miaka mitano.

Ndikilo ameyasema hayo jana akiwa katika ziara ya siku moja Wilayani Mkuranga wakati wa kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Chatembo iliyoko kata ya Mwandege ambayo imetengewa kiasi cha shilingi milioni mia nne (400) hadi kukamilika kwake.

Katika kuhakikisha kuwa Mkoa wa Pwani unatekeleza na kuunga Mkono juhudi za Mh. Rais John Pombe Magufuli katika sekta ya elimu Ndikilo amewaagiza Wakuu wa Wilaya ya Wakurugenzi wote wa Halmashauri kutokwenda Likizo hadi hapo watapohakikisha watoto wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanakwenda shule.

Aidha akiwa katika ziara hiyo Ndikilo amewataka wamiliki wa kiwanda cha Saruji cha Rhino kilichopo Kisemvule kuacha mara moja kuhamisha vipuli vya kiwanda hiko kupeleka Mkoani Tanga hadi hapo watakapokaa pamoja na kuona ni namna gani itawafaa kufanya ili kutatua changamoto zilizopo na hatimaye Kiwanda hiko kiweze kuleta tija ndani ya Wilaya ya Mkuranga.

Awali akimkaribisha Mkuu wa Mkoa, Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amemuomba kumsaidia kufanikisha ukarabati wa Barabara kutoka Bakhresa kwenda chatembo pamoja na kuwekwa kwa umeme katika shule hiyo mara tuu itakapokamilika na hata changamoto mbalimbali ambazo zinaikabili wilaya ya Mkuranga sambamba na kumuomba rais aje kuizindua shule hiyo itakapokamilika.

Nae Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga amemshukuru Mh. Rais pamoja na Mkuu wa Mkoa sambamba na kumuunga Mkono Mbunge wa Jimbo la Mkuranga kwa kuwasilisha vema changamoto za Jimbo la Mkuranga na kumuomba Mkuu wa Mkoa kutusaidia kwani hiko ndicho kilio cha wana Mkuranga.

Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa alipata fursa ya kutembelea na kukagua majengo mapya 14 ya madarasa, jengo la Nyumba ya Mwalimu sambamba na jengo la utawala katika shule Mpya ya Chatembo, pamoja na kuzindua karakana ndogo ya kutengeneza Madawati katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA NNE KWA SHULE ZA MKURANGA January 18, 2021
  • USAILI WA WATENDAJI WA VIJIJI NA MTUNZA KUMBUKUMBU September 13, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MWANDENGE KIDATO CHA KWANZA December 16, 2020
  • WALIOFAULU USAILI WA KUANDIKA September 21, 2020
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • Madiwani Mkuranga wabadilisha matumizi kujenga Madarasa

    January 06, 2021
  • Dkt Dugange aziagiza Halmashauri kufikia lengo katika makusanyo

    January 05, 2021
  • Pwamao yatoa vifaa kwa Walemavu Mkuranga

    December 19, 2020
  • DED Mkuranga apongezwa kwa usimamizi wa Uchaguzi

    December 16, 2020
  • Tazama vyote

Video

Madiwani wajidhatiti kutoa huduma bora kwa wananchi
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.Haki zote zimehifadhiwa