• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Nyuki

Sekta ya Ufugaji Nyuki

  • Kitengo  kinasimamia rasilimali za nyuki  na mimea  ya chakula cha nyuki kwa ajili ya maendeleo endelevu ya kiuchumi,kijamii na kuboresha mazingira.
  • Jukumu la kisera kusimamia, kuhamasisha wananchi kujiunga katika makundi au mtu mmoja mmoja kujishughulisha na ufugaji nyuki.
  • Halmashauri ya Wilaya ina hamasisha taasisi za utekelezaji, NGO’s na watu binafsi kuanzisha manzuki za mifano ya ufugaji nyuki bora, ambapo katika Wilaya ya Mkuranga zipo manzuki  mbili za mfano ambapo mojawapo inasimamiwa na Serikali kuu (TFS) na nyingine Halmashauri ya Wilaya iliyopo  katika msitu wa chanzo cha maji mlima kurungu kwa lengo la kukuza mchango wa ufugaji nyuki kwa maendeleo na kupunguza umaskini.
  • Jukumu la kisera la kuhakikisha kuna upatikanaji endelevu wa mazao ya nyuki na huduma bora za uchavushaji zimeanzishwa na usimamizi wa manzuki za kibinafsi na wakulima kutumia nyuki katika kuchavusha mimeo yao ili kuongeza uzalishaji na ubora wa mazao.

    Mafanikio ya Sekta ya Nyuki

  • Jumla ya vikundi  13 vimeundwa ambavyo husaidiwa kupata elimu ya ufugaji nyuki na kutengeneza mizinga ya nyuki wanaouma (nyuki wakubwa) na nyuki wasiouma (nyuki wadogo).Aidha kwenye vikundi hivyo wapo jumla ya watu 205 wanaume 105 na wanawake 100.pia kuna watu binafsi 8 ambapo wanaume 6 na wananwake 2.
  • Uzalishaji wa asali ni kati ya kilo nane mapaka kilo kumi kwa mzinga na nta ni kilo moja mpaka kilo moja na nusu.
  • Kuna wastani wa mizinga yenye makundi ya nyuki 312 kuzalisha kilo za asali 2160 na nta 198 kwa mwaka.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA NNE KWA SHULE ZA MKURANGA January 18, 2021
  • USAILI WA WATENDAJI WA VIJIJI NA MTUNZA KUMBUKUMBU September 13, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MWANDENGE KIDATO CHA KWANZA December 16, 2020
  • WALIOFAULU USAILI WA KUANDIKA September 21, 2020
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • Madiwani Mkuranga wabadilisha matumizi kujenga Madarasa

    January 06, 2021
  • Dkt Dugange aziagiza Halmashauri kufikia lengo katika makusanyo

    January 05, 2021
  • Pwamao yatoa vifaa kwa Walemavu Mkuranga

    December 19, 2020
  • DED Mkuranga apongezwa kwa usimamizi wa Uchaguzi

    December 16, 2020
  • Tazama vyote

Video

Madiwani wajidhatiti kutoa huduma bora kwa wananchi
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Hatimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.Haki zote zimehifadhiwa