Fedha
Biashara
SEKTA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
Dira: Kubadilisha uchumi kutoka uzalishaji duni kwenda uzalishaji wa kiushindani kwa kushirikisha Biashara huria na kuweza kuuza katika masoko ya ndani na nje ya Nchi.
Dhamira: Kuhamasisha uzalishaji wa ushindani kuchochea ukuaji na maendeleo ya kijamii na uchumi.
Shughuli zetu na Majukumu yetu:
Utoaji wa Leseni za Usimamizi wa Uendeshaji wa Shughuli za Biashara: Halmashauri ina jukumu la kusimamia sera, sheria na kanuni za biashara ili kuhakikisha dira na dhamira ya kitaifa inafikiwa.
Biashara chini ya Sheria ya leseni za Biashara Na.25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake.
Utoaji wa Leseni za vileo chini ya sheria Na. 28 ya mwaka 1968 na marekebisho yake.
Ukusanyaji wa Ushuru wa Nyumba za kulala Wageni.
Uendelezaji kwa kuhamasisha maendeleo ya Viwanda:ikiwa ni pamoja na kuendeleza mnyororo wa thamani/value added chain.
Kushirikiana na wadau kutafuta masoko ya bidhaa mbalimbali Wafanyabiashara binafsi,wakulima-kilimo kwanza,vyama vya msingi vya ushirika.
Kudhibiti mfumuko wa bei.
Kutoa ushauri na Elimu kwa wadau.
Kuratibu vikao vya Baraza la biashara la Wilaya.
Kuratibu vikao vya kamati ya Uwekezaji.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.