Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mwaka wa fedha 2022/2023 imepanga kukusanya na kutumia sh.billion 58,05,779 ikiwa ziada ya 24.60% ya bajeti mwaka 2021/2022 ongezeko imesababishwa na kupandishwa kwa madaraja ya watumishi (737).
Aidha Afisa Mipango wa Halmashauri Bi.Kaunga Amani amesema makusanyo hayo yanatokana na vyanzo ambavyo na mishahara matuizi ya kawaida ruzuku,mapato ya ndani sambamba na ruzuku ya miradi ya maendeleo na nguvu za wananchi.Mgawanyo wa fedha umezingatia maelekezo mahsusi ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) mwaka 2020 na kuzingatia vipaumbele vya Halmashauri .
Takwa la kisheria la kutenga na kupeleka fedha kuwainua kiuchumi wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu sh.mililion798.592 ambayo ni asilimia 10 ya mapato ya ndani halisi ambapo wanawake mil .319,437 ,vijana 319.437 pamoja n watu wenye ulemavu 159,718.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Mwantumu Mgonja Amewapongeza Madiwani kupitisha najeti yam waka 2022/23
Aidha katibu huyowa kikao alisema mwaka huu ambao Aprili kuna uchaguzi wao wanasimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
Akitoa salam za Chama Tawala (CCM) Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya Ally Msikamo aliwapongeza Madiwani kwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ikiwemo miradi iliyotokanana mamilioni ya pesa alizoleta Rais.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.