Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantum Mgonja amefika katika uzinduzi wa Maonesho ya 3 ya Uwekezaji na Biashara Mkoa wa Pwani 2022 hapa Kibaha Mailimoja na kufika katika Banda la Halmshauri ya Wilaya ya Mkuranga na kujionea wajasiliamali ambao ni wanufaika na mkopo wa asilimia 10% unaotolewa na Halmashauri kwaajili ya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.
Bi.Mwantum Mgonja ametembelea mabanda ya wawekezaji ambao wapo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kwa wawekezaji wetu.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.