Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantum Mgonja ameambatana na Wataalam kutoka Idara ya Elimu Msingi kwa lengo la kuhani msiba wa aliyekuwa Mwalimu katika Shule ya Msingi Tambani ndg.Elias Chomete.
Chomete alifariki Julai 26 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yanamkabili kwa kipindi kirefu.
Mwili wa Chometa unatarajiwa kupumzishwa ifikapo Alhamisi katika makaburi ya nyumbani kwao Msongola .
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.