Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantum Mgonja pamoja na Wataalam wamekutana na Viongozi wa Baraza la Wazee wanaoishi ndani ya Wilaya hiyo.
Lengo la kikao hicho ni kujadili mahitaji muhimu kwa Wazee na Halmashauri itaweza kusaidia mbayo yapo ndani ya uwezo wao na yatafanyiwa kazi kwa haraka.
Aidha Bi.Mwantum Mgonja amesema wamepata muda wa kujadili kwa pamoja kuhusu Mpango wa Baraza la Wazee wa Mkuranga kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.