• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Tasks MIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

BI,MWANTUM MGONJA AWAPONGEZA WANANCHI WA MAGOZA KWA KUJITOA KWAO KWENYE KULETA MAENDELEO

Posted on: June 22nd, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantum Mgonja amefanya ziara na timu ya Wataalam kutoka idara ya Elimu Sekondari na kufika katika kijiji cha Magoza Kata ya kiparanganda.

Katika ziara hiyo amefanya ukaguzi wa Shule ya Sekondari Magoza inayojengwa kwa nguvu za wananchi pamoja na ushirikiano kutoka kwa wadau  wa elimu kutoka  Shirika binafsi la Afrika Franken e.V

kwa lengo la kupunguza changamoto inayowakabili wanafunzi kwa kutembea umbali mrefu kwenda shule zilizopo vijiji vya jirani.

Nae Diwani wa Kata hiyo Mhe.Shomari Mwambala amempongeza Bi.Mwantum Mgonja kaa kuweza kufika katika kijiji hicho na kuweza kusikiliza changamoto mbalimbali walizonazo ikiwemo ya ujenzi wa shule na kuwaahidi kushirikiana nao.

Aidha Bi.Mwantum Mgonja amempongeza Mhe.Diwani sambamba na Wananchi kwa ushirikiano kwa kuweka nguvu za pamoja katika ujenzi wa vyumba sita vya madarasa na ameahidi kushirikiana nao mpaka kukamilika kwa ujenzi huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA April 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI WA UDEREVA MKURANGA May 13, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI WA UDEREVA MKURANGA May 13, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI WA UDEREVA MKURANGA May 13, 2022
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • Tumieni maonesho ya nanenane kuboresha Kilimo - DC Mkuranga

    August 07, 2022
  • Mwenyekiti Halmashauri Mkuranga awataka wakulima kuyaongezea mazao thamani

    August 07, 2022
  • Mwenyekiti Halmashauri Mkuranga awataka wakulima kuyaongezea mazao thamani

    August 07, 2022
  • Mwenyekiti Halmashauri Mkuranga awataka wakulima kuyaongezea mazao thamani

    August 07, 2022
  • Tazama vyote

Video

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA AELEZEA MAFANIKIO YA ANUANI ZA MAKAZI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2021 MkurangaDc. All rights reserved.