• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Tasks MIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED akutana na viongozi sekta ya Elimu Mkuranga

Posted on: January 15th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Mwantum Mgonja amefanya kikao kazi na kutekeleza maelekezo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Angela Kairuki (MB) aliyoyatoa tarehe 10/01/2023 akiwa ziarani Mkoani Pwani yanayohusu Sekta ya Elimu Nchini.

Mkurugenzi amefanya kikao kazi hicho pamoja na wakuu wa Idara ya Elimu Sekondari na msingi, Maafisa Elimu Kata na Walimu wakuu wote wa shule za msingi. Wengine ni wakuu wa shule za Sekondari pamoja na walimu wote wa shule za msingi na sekondari.

katika kikao hiko alisisitiza viongozi wote wa elimu na walimu kuwajibika kazini, kujenga mahusiano mazuri mahala pa kazi pamoja na kuwa na mahusiano na viongozi wa chama na serikali bila ya kusahau wananchi.

Hata hivyo amewataka walimu kufanya kazi kwa bidii na kupandisha ufaulu kwa 100% kwa madaraja ya A na B sambamba na kuwa wanyenyekevu na kufanya kazi kwa matokeo kwa dhamira ya kuleta matokeo makubwa.

Aidha viongozi wa Elimu walisisitizwa kupitia na kusoma Mikataba ya kazi iliyotolewa na OR – TAMISEMI na kuielewa sambamba na kuisaini kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuleta matokeo chanya katika Sekta ya Elimu.

Aidha Mkurugenzi alipata fursa ya kuwapongeza na kuwapa motisha Walimu wote waliofika shuleni kwa ajili ya kuwafundisha wananfunzi wa darasa la saba na la nne katika siku ya sherehe za Mapinduzi kwa lengo la kuwaimarisha na kuwawezesha kufanya vizuri katika Masomo yao.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA UALIMU YA MUDA MFUPI March 23, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA LA III March 21, 2023
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA July 03, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA April 14, 2022
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • DED akutana na viongozi sekta ya Elimu Mkuranga

    January 15, 2023
  • Madiwani Mkuranga Wapitisha Bajeti ya TARURA

    December 22, 2022
  • Mkurugenzi Mkuranga akabidhi Madarasa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga

    December 20, 2022
  • DED Mkuranga afanya ziara kukagua madarasa mapya ya sekondari

    December 19, 2022
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.