Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Waziri Kombo amefanya ziara ya kutembelea na kuona zoezi la umaliziaji wa ujenzi wa Majengo mapya ya Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga.
Ziara hiyo ameifanya baada ya kumalizika1t kikao maalumu na menejimenti ya Hospitali hiyoKilichokuwa na lengo la kukumbusha majukumu mbalimbali ya kazi na hasa katika hoja ya ukusanyaji wa mapato ndani ya Hospitali hiyo.
Akifanya majumuisho na wakuu wa idara na vitengo baada ya kukagua jengo hilo amesema zifanyike jitihada za mapema ya kukamilisha ujenzi huo ili majengo hayo yaweze kutumika.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.