• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

DED Waziri kombo akabidhiwa ofisi Mkuranga

Posted on: June 15th, 2023

Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mwantum Mgonja amekabidhi rasmi Ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Ndg. Waziri Kombo.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya na kuudhuriwa na wakuu wa idara na watumishi wa halmashauri.

Akizungumza kwenye makabidhiano hayo  Mwantum Mgonja amemshukuru  Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kumuamini na kumteua tena kuiongoza Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Vilevile amewashukuru watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga akiwemo mwenyekiti wa halmashauri  Mohammed mwera  kwa ushirikiano wao tangu  alipowasili kwenye Halmashari ya Wilaya kama Mkurugenzi Mtendaji Agosti 9, 2021.

Aidha alitumia nafasi hiyo kumkaribisha  Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga  Waziri Kombo na kuwataka watumishi wa Halmshauri  kumpa ushirikiano ili  kwa pamoja waweze kutimiza malengo ya serikali.

Nae Mkurugenzi mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga  Waziri Kombo amewaomba watumishi wa halmashauri wampe ushirikiano kama waliokua wanampa Mkurugenzi aliyeondoka na amewaahidi watumishi hao kuendeleza mazuri yote aliyoacha Mkurugenzi mtendaji aliyepita na kufanya zaidi, lakini amewasisitiza kufanya kazi kweli kweli na kwa ushirikiano mkubwa.

 Akizungumza pia kwenye hafla hiyo  ya makabidhiano Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Ndg. Mohammed Mwera  kwa niaba ya Baraza la Madiwani amemshukuru na kumtakia kheri kwenye majukumu mapya ya kazi Mwantum Mgonja Mkurugenzi anayehamishiwa Kigoma Ujiji na kwa upande wa Mkurugenzi Waziri Kombo amemsihi kuwapokee na kuwasikiliza wote watakaofika ofisini kwake  na kutekeleza maombi na ushauri wao.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.