• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

HALMASHAURI MKURANGA YAPONGEZWA KUFULULIZA HATI SAFI KWA MIAKA 3

Posted on: July 10th, 2019

 HALMASHAURI  ya Wilaya  ya Mkuranga Mkoa wa Pwani  imepongezwa kufuatia uzingatiaji  wao sheria na kanuni kwenye makusanyo na matumizi ya fedha za serikalihali inayochangia kupata hati safi ya ukaguzi miaka mitatu mfululizo

akizungumza kwenye baraza maalum la madiwani ili kujadili majibu ya hoja za mkaguzi na mdhibiti  mkuu wa hesabu za fedha za serikali (CAG) kwenye ukumbi wa flex garden juzi Mkuu wa Mkoa Mhandisi Evarist Ndikilo  aliwataka wasibweteke na mafanikio hayo bali iwe chachu ya kuimarisha kitengo cha ukaguzi wa ndani sambamba na kufunga hoja zilizobaki ifikikapo agosti 30 mwaka huu

Mhandisi Ndikilo ambaye pia mlezi wa Halmashauri alimpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri Mhandisi Mshamu Munde kwa kupanua wigo wa mahusiano kati yake Madiwani, wataalamu, ofisi ya mkuu wa Wilaya na Chama tawala (CCM) hali iliyofanikisha kupaisha  mapato ya ndani na kufanikisha utekelezaji ilani ya uchaguzi (CCM) sekta mbali mbali

kwa upande wake Mkurugenzi  Munde alimuhakikishia Mkuu wa Mkoa kutekeleza maagizo yote ikiwemo kuimarisha ukaguzi wa awali sambamba na kuwa nao wakaguzi kwenye hatua zote ili kupunguza hoja

naye mtunza hazina wa Halmashauri Medani  Jekamaya alizitaja hoja zilizofungwa kuwa ni pamoja na jengo la viwatilifu kutumikaa na idara ya usalama taifa, watumishi kuhamia nyumba za serikali na kununua madawa nje(msd) bila kuwepo kwenye maghala yao

aidha Medani alisema zipo hoja ambazo wanazitekeleza hivyo kuwepo uwezekano mkubwa kujifunga   zenyewe

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.