• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA YAFANYA MKUTANO MAALUM NA WATENDAJI WA VIJIJI KUHUSU ANWANI ZA MAKAZI(SENSA)

Posted on: February 14th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imefanya Mkutano na watendaji wa vijiji wa katika Halmashauri katika ukumbi wa Flexi Garden uliopo Kiguza  lengo likiwa kutoa elimu kuhusu Anwani za Makazi.


Katika Mkutano huo uliongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Bi.Arafa M.Halifa amesema zoezi hili ni muhimu hivyo tunatakiwa kushirikisha wananchi na lisiwe la kumbuguza mwananchi hivyo basi hatutarajia kuona Mtendaji anakwamisha zoezi hili. Pia amesema  Mkurugenzi Bi.Mwamtum ametoa maagizo ya kwamba zoezi hili likamilike Mwezi wa tatu (3) angalau ikifika mwezi wa nne (4) akabidhiwe Mkuu wa Wilaya  Bi.Hadija Nasir Ally na yeye apitie kwaajili ya mwezi wa tano (5) kukabidhi Mkoani.


Aidha Afisa Tarafa Bw.Johnson.J.Makalanga amesema kuwa tupo kwenye zoezi zito sana na ni muhimu Kitaifa kiujumla hivyo amewataka watendaji kata kuwahamasisha wananchi umuhimu wa Sensa (Anwani za Makazi) kwani itarahisisha kujua nini wanatakiwa kufanya juu ya hili zoezi hivyo amewasisitiza kuwa hili zoezi halina likizo,wala sikukuu ili kuweza kukamilika kwa wakati.


Nae Afisa Utumishi wa Wilaya Bwana Frank Komba amesema zoezi hili ubunifu ni kitu cha muhimu hivyo nina imani yapo mambo mengi ya kujifunza na tunapaswa kulitekeleza zoezi hili na limalizike kwa wakati.Aidha amesisitiza kuwa zoezi hili halipaswi kuwa kero kwa wananchi hivyo nina  imani kwa zoezi litaenda vizuri na tutumie rasilimali zetu kwenye vibango vya mitaa na tuchukulie zoezi hili ni jepesi.


Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.