• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

KAMATI YA SIASA WILAYA YA MKURANGA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: March 17th, 2022

Kamati ya siasa wilaya Mkuranga Mkoa wa Pwani leo tarehe 16/3/2022  imetembelea na kukagua miradi inayotekelezwa ndani ya wilaya  ikiwa ni sehemu ya usimamizi wa ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Akizungumza wakati wa ziara , Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mkuranga Ndg. Ally Msikamo Kwa niaba ya kamati  alionyesha kuridhika na utekelezaji wa Ilani ya CCM baada ya kupokelewa kwa taarifa hiyo kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Mkuranga.

Aidha Alipongeza jitihada na ushirikiano anaopata kutoka kwa mkuu wa Wilaya, Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga katika kuhakikisha kuwa shughuli za maendeleo ndani ya Wilaya zinatekelezwa vizuri na kusisitiza kuendelezwa kwa  ushiriano huu ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Mkuranga kama ambavyo Ilani ya CCM inaelekeza.

Akiwasilisha Taarifa ya utekelelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga ambae pia ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya Bi Hadija Ali alisema, Wilaya imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kisekta ikiwa ni pamoja na utoaji wa Elimi bure kwa shule za msingi na sekondari, ujenzi wa miundombinu ya elimu na afya, maji, Barabara pamoja na kunusuru kaya masikini kupitia mpango wa TASAF. Utekelezaji huu umechangiwa kiasi kikubwa kutokana na ushirikiano unaotolewa na viongozi wa chama tawala katika ngazi zote pamoja na kuimarika kwa Ulinzi na Usalama ndani ya Wilaya.

Mwantumu Mgonja Mkurugenzi mtendaji ameeleza ya kuwa kwa kuwa ameaminiwa kusimamia miradi ya maendeleo na shughui zote za halmashauri atazitekeleza kwa vitendo na kwa ufanisi huku akisimamia sheria kanuni na taratibu zote za utumishi wa Umma.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.