Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

KATIBU MKUU WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI MHE.NZUNDA TIXON AMEIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA WIZARA HIYO

Posted on: May 20th, 2022

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Nzunda Tixon amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya Serikali ambayo Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ndio msamizi mkuu .Katika ziara hiyo amekagua mnada mkuu wa kisasa unaojengwa katika kijiji cha Chamgoi unaogharimu kiasi cha shilingi milion 300,274,584.09  pamoja na kisima kikubwa cha kuhifadhi maji na kunywesha mifugo maji katika kijiji cha Matanzi kata ya Beta unaogharimu kiasi cha shilingi milioni 162,309,590.00 ambapo fedha hizo zikiwa zimetoka serikali kuu.

Mhe.Nzunda Tixon amesema katika ujenzi wa mnada amewataka wananchi kusimamia mradi huo kwani sio wa serikali pekee ake hivyo kwa pamoja wanatakiwa kushirikiana ili uweze kukamilika na amewataka wafuge mifugo yao kwanjia ya kisasa zaidi kwani itawapa thamani zaidi kwani ndani ya mnada huo watatumia njia za kielotroniki ambapo wanunuzi watatoka nchi mbalimbali na watauona mifugo yako kwa kutumia mifumo maalum hivyo amewataka kuhakikisha mifugo yao wanapata chanjo,chakula cha kutosha,maji na wanapata majosho ili thamani ya mifugo iwe nzuri kwao.

Aidha amempongeza Afisa Kilimo wa Wilaya Bi.Anna Kiria kwa usimamizi mzuri wa miradi na kumtaka kuhakikisha miundombinu inayojengwa ijegwe kwa thamani ya pesa na kuzingatia ramani pamoja na mikataba kwa wakandarasi.

Pia amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kujenga machinjio ya dharura nje ya mnada na kuhakikisha mifugo yote ndani ya Wialaya imevaa hereni ikiwa ndio utambulisho mkuu.


Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • MAFUNZO KWA VIKUNDI VINAVYOTARAJIWA KUPEWA MIKOPO YA 10% KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025

    May 20, 2025
  • RO MKURANGA AWAFUNDA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.