• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

katibu tawala Mkuranga azindua Baraza la Madiwani

Posted on: December 7th, 2020


Katibu Tawala Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Veronica Kinyemi amempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa uteuzi wa Baraza la Mawaziri akiwemo Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega kuwa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa utamaduni na Michezo.

                                                                           

Akifungua kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani kwenye ukumbi wa Flex Garden Mkuranga jana aliwapongeza wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga wakiongozwa na Mkurugenzi wao Mhandisi Mshamu Munde kuendelea kushirikiana vema na vyombo vya Ulinzi kuhakikisha hali ya usalama inakuwa shwari.

Kinyemi bila ya kumung’unya maneno aliwageukia Madiwani hao wapya na kuwataka wajikite katika kutatua kero na changamoto mbalimbali kwenye Sekta ya Elimu, Afya na Miundo mbinu kwa ushirikiano mkubwa ili kuleta tija ndani ya kipindi chao cha uongozi.

Akizungumzia Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu wake Kinyemi aliwataka Madiwani kuchagua walengwa wenye maslahi mapana kwa wananchi wa Mkuranga na Halmashauri kwa ujumla na siyo kuchagua bora kiongozi.

Kwa upande wake Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya Mohamedi Mwela amemhakikishia Mkuu wa Wilaya kuwa watatumia vikao vyao vya kisheria zikiwemo Kamati za Kudumu ili kuyapa nguvu maagizo yote  ya kitaifa ambayo ni sawa na sheria ambayo ni pamoja na kufanya mazoezi mara mbili kwa mwezi sambamba na kufanya usafi wa kila mwisho wa mwezi.

Kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu wake pamoja na kuundwa kwa kamati za kudumu na kupata wenyeviti wa Kamati hizo Madiwani wote (25) wa Kata na wale wa viti maalum (8) walikula kiapo cha utii na tamko la maadili.

Madiwani walimchagua Mohamedi Mwela Diwani wa Kata ya Mkuranga kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri kwa kura 33 kati ya 35 na kumchagua kambwili Diwani wa Kata ya Shungubweni kuwa makamu Mwenyekiti kwa kura 34 kati ya 35

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.