Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imetoa mafunzo kwa Kamati za Mikopo ngazi ya Halmashauri na Kata kuhusu utoaji na usimamizi wa mikopo kwa Vikundi vya wanawake,Vijana na Watu wenye Ulemavu.
Mafunzo hayo yamefanyika October 4,2024 katika ukumbi wa Mwinyi Sekondari yenye lengo la kuwapa wajumbe mafunzo juu ya sheria na kanuni za utoaji wa mikopo na mwongozo wa utoaji wa mikopo hiyo.
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga inatarajia kutoa mikopo yenye jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 2.1 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.