• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

MASHAMBA PORI YAREJESHWA KWA WAANCHI MKURANGA

Posted on: August 5th, 2020

Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi ametekelea maagizo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kufanya maamuzi magumu ya kurejesha kwa wananchi wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani ardhi ambayo ilimilikiwa bila kuendelezwa.

Akizungumza na wataalamu, vyombo vya ulinzi na usalama na watendajai wa Halmashauri hiyo Lukuvi  alimwagiza kamishna msaidizi  wa ardhi mkoa Lucy Kabyemera kupiga kambi na wataalamu wake wilayani humo ili kuhakikisha wanapima na kumkabidhi Hekari (3347) Mkurugenzi wa Halmashauri Mhandisi Msham Munde awape bure wakazi wa vijiji vya kata za Vikindu, Mipeko na Tambani.

Aidha Lukuvi amemtaka mmiliki wa kampuni ya Soap and Allied Industries Ltd  Emtinyazi Ahmed kuanza upya maombi ya kumiliki Hekari 875 huku akiwapa miezi mitatu  wamiliki  Rajwan Karim na Ahmed Marji wafanye mchakato wa kukabidhi hati ambayo wamechukulia mkopo benki.

Akitoa neno la shukrani Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ammbaye pia alikua Mbunge wa jimbo la Mkuranga  Abdalla Ulega alimpongeza  Waziri Lukuvi kwa kutekeleza kwa wakati maagizo ya Raisi  ambayo yamerejesha amani na utulivu kwa wakazi wa vijiji vya Luzando, Mwanambaya,Mlamleni Mipeko sambamba na Lugwadu,Kazole na Magodani, huku akiwataka wananchi watoe ushirikiano kwenye zoezi la upimaji na kumilikishwa.

Katika ziara hiyo ambayo Lukuvi aliongea na wananchi wa vijiji hivyo na kushuhudia maeneo hayo alimpandisha cheo Mkuu wa Idara ya ardhi Mussa Kichumu Ambaye awali alikua afisa ardhi mteule kufuatia uwajibikaji na uadilifu wake.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.