Akiwa katika ziara Jimboni kwake, Mh. Abdallah Ulega Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi amemwagiza Afisa Elimu Msingi kufuatilia na kutoa taarifa kuhusu kukwama kwa usajili wa shule ya chekechea (Kindergarten) iliyojengwa na Africa Hilfe Franken katika kijiji cha Kiparanganda.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.