Mbunge wa Jimbo la Mkuranga ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Hamis Ulega amefika katika Viwanja vya Maonesho ya Wiki ya 3 ya Uwekezaji na Biashara.
Mhe.Abdallah Ulega amekagua mabanda mbalimbali ikiwemo banda la Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga pamoja na mabanda ya wawekazaji ambao wapo ndani ya Wilaya ya Mkuranga na kuweza kujionea shughuli za uwekezaji zinavofanywa ndani ya Wilaya.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.