Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mh.Ngolo Malenya (kushoto mwenye nguo nyeusi ) sambamba na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mh.Edward Gowelle mwenye shati la maruni walipokagua shughuli mbalimbali zinazofanyika ndani ya Wilaya ya Mkuranga huku wakipokea taarifa kwa mratibu wa maoneshe ya nane nane Bi.Ritha Valentine Barbaydu.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.