• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

MIFUKO 1000 YA SARUJI YAWA CHACHU KATIKA KUKWAMUA MIRADI ILIYOKWAMA MKURANGA

Posted on: June 8th, 2020


Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani  Mhe. Filberto Sanga leo  amepokea mifuko ya Saruji 1000, kutoka katika kiwanda cha (FORTUNE CEMENT (T) LIMITED) kilichopo katika Wilaya ya Mkuranga ikiwa ni sehemu ya ushiriki wake katika utoaji wa huduma za kijamii kwa wawekezaji wote waliopo Wilaya hii.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mhe. Sanga aliwashukuru sana wamiliki wa kiwanda hicho  na kusema amepokea kwa furaha kubwa msaada huo na utaenda kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika sekta za Afya, Elimu,Utawala, Idara ya Ulinzi na Usalama, pamoja na Taasisi za Kidini  ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za maendeleo katika Wilaya yetu ya Mkuranga..

Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,  Mhandisi Msham Munde amempongeza Mkuu wa Wilaya na ofisi yake kwa kuhusika moja kwa moja katika kufanikisha upatikanaji wa saruji hiyo, “miradi iliyokwama itaenda kutekelezwa kutokana na upatikanaji wa saruji hiyo, lakini pia mifuko wanayopewa kwa ajili ya ujenzi wa taasisi zilizopo chini yake itatumika kutekeleza miradi yote iliyoainishwa bila kupindisha matumizi” alisema

Naye mchungaji wa kanisa la Anglican Martin Kihula akitoa shukrani zake  alisema saruji hii waliyopokea itatumika kujenga nyumba ya mtumishi wa kanisa hilo na kuendeleza ujenzi wa kanisa, ameishukuru pia ofisi ya mkuu wa wilaya katika kukumbuka mchango wa taasisi za dini katika kuleta ustawi wa jamii ndani ya wilaya na kuendeleza ushirikiano ambao wamekuwa wakiupata kutoka Ofisi ya Mkuu wa wilaya kwani imekua kama ni kawaida kukumbukwa katika misaada mingi inayotolewa na wadau.

Sambamba na hilo muwakilishi kutoka katika taasisi ya dini ya kiisilam Ndg. Hemedi Masendela kwa niaba ya Shekhe Mkuu wa Wilaya ameshukuru kwa kupokea mifuko 50 ya ujenzi wa msikiti. Aidha, ameomba msaada huo usiishie hapo kwa kuwa wana mambo mengi katika taasisi hiyo hivyo ameomba kupatiwa ushirikiano zaidi kadri hali itakavyoruhusu ili kuweza kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili taasisi hiyo ili kuweza kusonga mbele katika utoaji wa huduma za kidini.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.