Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

Mkuranga yapokea pakiti 264600 kutoka SOLEO

Posted on: November 28th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga yapokea pakiti 264600 kutoka SOLEO zenye thamani ya shilingi milioni 52.9 kwa ajili ya msaada kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ambazo ni virubisho vilivyo na mchanganyiko wa Vitamini na madini.

Akitoa ufafanuzi katika kampeni ya uzinduzi wa Mpango wa kupunguza utapia mlo Wilaya ya Mkuranga iliyoandaliwa na kamati ya Lishe Wilayani humo, iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Mikere jana, Makamu Mkurugenzi wa shirika hilo Grace Mghamba amesema virutubisho hivyo ambavyo ninaweza kutumiwa na watoto 5880 wamegawa bure wakiwa na lengo la kumsaidia mtoto kwa ajili ya kuondoa utapia mlo na udumavu.

Akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Kaimu katibu Tawala wa Mkoa Abdulrahman Mdimu, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya Mkuranga kwa kuanzisha Mpango huu ambao katika Mkoa wa Pwani ni Mkuranga Pekee ndiyo imejipanga na kuhakikisha inaondoa tatizo hilo baada ya kuona Katika baadhi ya Kata zake 10 zinaongoza kwa watoto waliokosa Lishe bora.

Awali  Mdimu akikagua Bustani ambayo imeandaliwa shuleni hapo kama shamba darasa la kulima mbogamboga na mahindi kwa ajili ya chakula, amepongeza kwa hatua hiyo na kuitaka kamati ya Lishe Wilaya ya Mkuranga kuongeza juhudi katika kuboresha Afya na kueneza elimu hiyo katika jamii.

Katika kuhakikisha hii kampeni inakuwa na tija katika jamii, Diwani wa kata ya njia nne, Sultani Cheche “Dr Cheche”, ameahidi kujitolea trekta kwa ajili ya kulima bure katika shul zote ndani ya Kata yake  ambazo zitajihusisha katika kulima na kuzalisha mazao ya Lishe na kusema zoezi hili litakuwa endelevu.

Katika uzinduzi huo viongozi na wawakili wa taasisi na NGO’s mbalimbali walipata fursa ya kutoa taarifa zao za namna gani wamejipanga kuhakikisha tatizo hilo la utapia umlo na udumavu kwa wototo chini ya miaka mitano linaisha ndani ya Wilaya ya Mkuranga.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • RO MKURANGA AWAFUNDA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.