Kaimu Afisa Elimu wa Wilaya ya Mkuranga Mwl. Abdallah Kusaga amesema kuwa, wilaya ya Mkuranga imeamua kwa dhati kuhakikisha kuwa inakwenda sambamba na jitihada za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuinua taaluma katika wilaya kutoka ufaulu wa asilimia 64 hadi 80 mwaka 2018. Aliyasema hayo katika kikao cha tarehe 04.01.2018 wakati wa kuweka mikakati kabla ya kufunguliwa kwa shule za msingi tarehe 08.01.2018. Kikao hicho kiliwajumuisha maafisa elimu ngazi ya kata, maafisa elimu waandamizi na walimu wakuu wote wa wilaya ya Mkuranga .
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.