• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

MKURANGAMA -DED MHANDISI MSHAMU MUNDE NA MWANTUMU MGONJA WAKABIDHIANA OFISI..

Posted on: August 9th, 2021

IAliyekuwa   Mkurugenzi Mkuu wa Halmashauri ya Mkuranga Mhandisi Mshamu Munde amekabidhi  Ofisi kwa  Mkurugenzi mpya aliyeteuliwa kuingoza halmashauri hiyo Mwantumu Mgonja  huku akiwataka watumishi na madiwani  wa halmashauri hiyo  kushirikiana kwa dhati  na  Mkurugenzi  huyo.Makabidhiano ya ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri ya mkuranga yamefanyika sambamba na tukio la kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Mhandisi Mshamu Munde aliyeteuliwa kuwa  mkurugenzi wa Halmashauri ya Kibaha Mji sambamba na  kumkaribisha Mkurugenzi mpya  wa halmashauri hiyo  Mwantumu Mgonja.Akizungumza kabla ya kufanyika makadhiano ya ofisi  hiyo  Mhandisi Munde alitumia fursa hiyo kumshukuru  Rais Samia Suluhu Hassani kuendelea kumwamini na kumteua tena kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kibaha MjiAlisema akiwa mkurugenzi wa halmashauri ya mkuranga aliweza kushirikiana vizuri na  Watendaji wa  halmashauri hiyo kusimamia mapato ya serikali na hivyo kuchangia ongezeko la makusanyo ya mapato kutoka shilingi bilioni 3.6 kwa mwaka 2016 hadi kufikia   Shilingi ibilioni 7.18 mwaka 2021Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Mwantumu Mgonja nae   alimshukuru Rais Samia Suluhu kwa   kumwamini na kumfanya kuwa ni  miongoni mwa wanawake 55 aliowateua kushika nafasi za ukurugenzi wa Halmashauri  mbalimbali nchini na aliahidi  kutoa ushirikiano kwa watumishi wa halmashauri hiyo.Alisema lengo lake ni kuona mapato katika halmashauri ya Mkuranga yanaongezeka kuzidi ya ilivyokuwa sasa hivyo aliwataka wataalam wa halmashauri kuanzia ngazi ya wilaya hadi vijiji kuwa wabunifu na kushirikiana nae katika kuibua vyanzo vipya ya mapatoMwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga Mohamed Mwela alisema mhandisi mshamu munde alifanya jitihada kubwa katika kuingezea thamani halmashauri ya mkuranga kutoka halmashauri yenye makusanyo hafifu hadi kufikia kuwa halmashauri inayokusanya mapatu ya juu nchiniMkuu wa idara ya elimu sekondari    halmashauri ya mkuranga  Benjamin Majoya  akizungumza kwa niaba ya watumishi wa halmashauri alisema Mhandisi Munde ameacha alama kwa wana mkuranga kutokana na uongozi wake wenye utashi na uadilifu na kumtaka kipaji cha uongozi  alichonacho akikiendeleze kwa wananchi wa kibaha.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • MAFUNZO KWA VIKUNDI VINAVYOTARAJIWA KUPEWA MIKOPO YA 10% KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025

    May 20, 2025
  • RO MKURANGA AWAFUNDA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.