Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA AKABIDHI MADARASA KWA MKUU WA WILAYA

Posted on: December 31st, 2021

kwa awamu moja” Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani umekamikamilisha ujenzi wa madarasa 146 waliyopatiwa fedha na Serikali kupitia mradi wa ustawi wa Taif ana Mapambano dhidi ya UVIKO-19.

Akizungumza katika makabidhiano ya madarasa hayo yaliyofanyika katika kituo Shikizi cha Lugwadu Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga kutunza miundombinu hiyo ili iweze kudummu kwa mda mrefu na kuendelea kunufaisha jamii ya Mkuranga .

Pia amewataka wazazi na walezi wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanahamasisha Watoto wao kwenda shuleni ili kupata elimu bora itakayowakomboa katika Maisha yao.

“Madarasa haya yamejegwa kwaajili ya Watoto wetu sasa wasipokuja shule miundombinu hii haitakua na maana hivyo kila mzazi au mlezi ahakikishe mtoto wake anakwenda shule awe ni wa madarasa ya awali ,darasa la kwanza au sekondari ,amesema bi Khadija

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ,Bi Mwamtum Mgonja amesema walipokea shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari 116 sambamba nay a vituo shikizi 30 ambayo mpaka kufikia leo hii ujenzi umekamilika kwa asilimia 96.

Amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha hizo zilizomaliza kabisa changamoto ya vyumba vya madarasa .

“Kwa mwaka 2021 wanafunzi waliomaliza kidato cha nne ni 2,000 na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha ni 7,122 hivyo tulikuwa na ongezeko la wanafunzi takribani 5,000’’

“Tusingepata fedha za ujenzi wa vyumba hivi sijui hawa Watoto wote tungewapeleka wapi lakini kwa sasa tuna uhakika kuwa wanafunzi wote wataanza kidato cha kwanza

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MAFUNZO KWA VIKUNDI VINAVYOTARAJIWA KUPEWA MIKOPO YA 10% KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025

    May 20, 2025
  • RO MKURANGA AWAFUNDA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.