• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Tasks MIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA WA PWANI AIPONGEZA MKURANGA KWA KUPATA HATI SAFI

Posted on: June 20th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Aboubakar Kunenge amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwatumikia wananchi sambamba na kuwaondolea changamoto.

Akizungumza kwenye Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilaya mkuranga lilokutana leo kujadili majibu ya hoja za mkaguzi mkuu hesabu za serikali mwezi juni mwaka 2020-21, aliwataka madiwani na wataalam kufahamu tafsiri ya hati safi ni kuwaboreshea maendeleo wananchi.

Aidha kiongozi huyo aliyeambatana na katibu tawala wa mkoa mhandisi Mwanasha Tumbo aliwataka wawe ni vipaumbele sahihi kwenye miradi ya maendeleo huku wakizangatia muongozo na rasilimali fedha.

Mhe.Kunenge aliagiza hoja za ukaguzi (32) zilizobaki kati ya (64) zijibiwe kabla ya septemba 30 mwaka huu pia wahusika wachukuliwe hatua na wakamilishe miradi yote ya maendeleo.

Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya mkuranga Mhe. Hadija Nassir Ali aliwataka Madiwani kusimamia mapato ya Halmashauri na kufatilia marejesho ya mikopo ya wajasiriamali ambayo ni takwa la kisheria.

Aidha aliwataka Watalam wasubiri miradi yenye tija na kushirikiana Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kuboresha makusanyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA April 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI WA UDEREVA MKURANGA May 13, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI WA UDEREVA MKURANGA May 13, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI WA UDEREVA MKURANGA May 13, 2022
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • BI.MWANTUM MGONJA AWATAKA WANANCHI KUPATA VIPALI VYA UJENZI WA MAJENGO ILI KUWEZESHA HALMASHAURI KUKUSANYA MAPATO YATAKAYOTUMIKA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU

    June 23, 2022
  • AFISA UTUMISHI WA WILAYA YA MKURANGA AELEZEA UTARATIBU WA MUUNDO MPYA AMBAO UNAANZA KUTUMIKA HAPO JULAI

    June 23, 2022
  • BI,MWANTUM MGONJA AWAPONGEZA WANANCHI WA MAGOZA KWA KUJITOA KWAO KWENYE KULETA MAENDELEO

    June 22, 2022
  • WALEGWA WA TASAF WAFIKIWE KWA WAKATI NA WAPEWE HUDUMA STAHIKI

    June 21, 2022
  • Tazama vyote

Video

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA AELEZEA MAFANIKIO YA ANUANI ZA MAKAZI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi: +255784494689

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2021 MkurangaDc. All rights reserved.