Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mh.Hadija Nasri Ali (mwenye gauni ya kitenge) akipata maelekezo kutoka kwa Mtaalam wa kilimo cha mboga mboga ,matunda,maua na viungo Bi.Ritha Barbaydu namna ya ulimaji bora wa kutumia mbolea za asili ili kupata mboga salama na kwa afya bora ya mlaji.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.