Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

MKUU WA WILAYA YA MKURANGA AWATAKAKA VIJANA KUJIKITA ZAIDI KATIKA MICHEZO....

Posted on: October 9th, 2021


Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Khadija Nasiri Ali amempongeza na kumshukuru  Naibu waziri na Mbunge wa Wilaya ya Mkuranga kwa kuratibu bonaza la Ulega Cup kwani bonanza hilo hukutanisha vijana mbalimbali kutoka wilaya ya mkuranga kwa pamoja na kuwajenga kiafya na kiakili kwakupitia  mazoezi kwa pamoja .

Uzinduzi wa bonaza la michezo ambalo linajulikana kama Ulega Cup ambalo limefanyika Wilayani Mkuranga  lilihusisha michezo mbalimbali  kama vile kukimbia mchakamchaka(jogging) km15, mchezo wa bao kwa wazee na mpira wa miguu . Pia kulikuwa na zoe la uchanjaji wa chanjo ya uviko 19 na utoaji damu.

Aidha Mkuu huyo  amewasihi vijana wa  Wilaya ya Mkuranga kujikita Zaidi katika michezo kwani michezo  hujenga afya bora  na pia hujitengenezea fursa nzuri ya ajira ndani na nje ya Nchi  na kuwataka vijana zoezi hili liwe endelevu katika wilaya yao.

Sambamba na hilo  amewashukuru wananchi  kwa kulipokea vizuri zoezi la uchanjaji wa chanjo ya uviko 19 kwani chanjo 4000 zilikuja awamu ya kwanza zimekwisha na wanatarajia kupokea chanjo nyingine hivyo amewataka wananchi kushiriki vyema kupata chanjo hizo.

Naye Naibu waziri wa Wizara ya Mifugo ambaye  pia ni Mbunge wa Jimbo la  Mkuranga amemshukuru Mkuu wa Wilaya  kwa kushirikiana nae vyema kwenye Bonanza hilo sambamba na kuibua mchezo wa bao kwa wazee ikiwa kama kumbukizi ya mchezo pendwa wa Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania .

Ulega amewasihi wazee mchezo huo uwe endelevu katika wilaya yao ili usiweze kusahaulika kama ilivyokuwa hapo awali.

 Michezo hiyo iliweza kutoa washindi kwa mchezo wa bao timu ya wazee wa vikindu ilibuka washindi dhidi ya Mwarusembe na katika mpira wa miguu Timu ya Tengerea iliibuka mshindi wa goli moja dhidi ya Mipeko.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • RO MKURANGA AWAFUNDA WAANDIKISHAJI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI

    May 14, 2025
  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.