• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

Muuguzi Mkuranga auawa Kikatili

Posted on: May 25th, 2018

Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Rose Mary Magombola ambaye alikuwa muuguzi Mkuu msaidizi wa hospitali ya Mkuranga ameuawa na mtu aliyetajwa kuwa ni mume wake, na kisha mwili wake kufukiwa pembezoni mwa nyumba yao.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Dk. Stephen Mwandambo, amesimulia jinsi tukio hilo lilivyokuwa mara baada ya kuingiwa na hofu kwa kutomuona kazini bila taarifa, na mpaka pale ilipobainika kuwa mume wake alimuua na kumfukia.

“Siku ya tar 21 Jumatatu hatukumuona dada Mary Magombolwa akiwa kazini sasa tulitaka kujua kwa nini kwa sababu sio kawaida yake kutokuja kazini bila taarifa, baadaye tukaona kwa sababu labda ya uchovu labda alichoka tukahisi labda baadaye anaweza akaja, tukalisahau siku ikapita, Jumanne asubuhi tulipomkosa tena ikabidi tuanze utaratibu wa kutafuta nini kinaendelea, tuende nyumbani kwake kumuuliza mumewe kama amemuona au ana shida yoyote zaidi mpaka haonekani, lakini kabla hatujatoka hospitali, mume wake alifika na kutuuliza kama mke wake amefika kazini, sasa tulipata utata kidogo maana tulitegemea yeye ndio atupe majibu”, amesema Dk. Mwandambo.

Dk. Mwandambo ameendelea kwa kusema kwamba “sisi tukasema huku hajafika tangia jana na tulikuwa tunakuja kwako kukuuliza, kwa sababu na wewe hujui ni bora ukaenda polisi uende ukatoe tarifa, tukamsindikiza akatoa taarifa, na upelelezi ukaanzia pale kwa ajili ya kumtafuta, na polisi wakafanya kazi, yeye mwenyewe akawekwa ndani kwa ajili ya kusaidia uchunguzi, na jana ndio ikajulikana kuwa alikuwa ameuawa na kufukiwa katika eneo la nyumba yake”.

Taarifa zaidi zinasema kwamba baada ya upelelezi wa kina mume wa nesi huyo ambaye anajulikana kwa jina la Robert Muyange, aliweka wazi kuwa amemuua mke wake na kumfukia karibu na eneo la nyumba yao.

Jeshi la Polisi lilifika eneo la tukio kufukua mwili wa nesi huyo, na kisha kwenda kufanyiwa uchunguzi na kutangazwa kuwa utazikwa mapema kesho yake.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.