• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

Neelkanth yakabidhi viti 100 Shule ya Sekondari Shungubweni

Posted on: January 27th, 2020

Kampuni ya Neelkanth salt iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani imekabidhi viti 100 vya plastiki katika shule ya sekondari Shungubweni kwa lengo la kupunguza uhaba wa viti katika shule hiyo ambayo ni changamoto kubwa kulinganisha na idadi kubwa ya wanafunzi waliopo hapo.

Akikabidhi viti hivyo pamoja na pakiti za chumvi mwanzoni mwa wiki, Mkuu wa uendeshaji na mdhibiti wa mifumo Himit Gandhi amesema wao kama wawekezaji katika Kata hiyo wako tayari kuisaidia  na kuendeleza mahusiano mema katika kuchangia maendeleo katika shule hiyo.

Gandhi amekabidhi msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 1.5 na kuwataka wanafunzi wa shule hiyo kuongeza bidii katika masomo na kuwahakikishia kuwa atakuwa anafuatilia matokeo katika shule hiyo na wakiwa wanafanya vizuri ataendelea kuisaidia shule hiyo.

Awali Afisa Ulinzi na Mazingira Nassoro Kilapo amesema kampuni hiyo imekuwa ikifanya shughuli za kimaendeleo katika Kata hiyo katika sekta mbalimbali kama vile Miundo mbinu ya Barabara, Elimu na nyinginezo hivyo amewataka wananchi wa Kata hiyo na vijiji vinavyoizunguka shule hiyo kutoa ushirikiano mzuri na kampuni hiyo sambamba na kuwataka wanafunzi wa kike kutojihusisha na mahusiano na badala yake kuzingatia masomo.

Nae Afisa Rasilimali watu wa kampuni hiyo Saidi Kubenea amewataka wanafunzi hao kujikita katika elimu kwani ndiyo urithi mzuri katika maisha yao na wala siyo kurithi majumba na magari na kusisitiza kuwa ukiwa na elimu hakuna mtu atakayeweza kukunyang’anya.

Akitoa neno la shukrani Mwenyekiti wa Kijiji cha Msolwa kwa niaba ya Kata ya Shungubweni Muharami Pangala, ameiomba kampuni hiyo isiwachoke katika kuwasaidia wananchi na kuwaomba wakijaaliwa basi waisaidie shule hiyo kujenga bweni kwa ajili ya wasichana kwani imekuwa ni kero kubwa sana kwa kuwa wanafunzi wengi wa kike wanatoka umbali mrefu kufuuata shule hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.