• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

SILAA AELEKEZA TCRA KUFIKA RADDY FIBER MKURANGA

Posted on: June 18th, 2025

Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia na Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb), ameielekeza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupiga kambi katika kiwanda cha kutengeneza simu janja cha Raddy Electronics kilichopo Mkuranga, mkoani Pwani, kwa lengo la kufuatilia kwa ukaribu ubora na viwango vya uzalishaji kulingana na ushindani wa soko, ili kudhibiti uwepo wa simu feki nchini.

Akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua viwanda vinavyomilikiwa na mwekezaji mzawa, Ramadhani Hassani Mlanzi, ikiwa ni pamoja na Kiwanda cha Raddy Fiber Manufacturing Ltd na Raddy Electronics, Silaa amesema TCRA ina mamlaka ya kusajili vifaa vya kielektroniki na ina maabara maalum kwa ajili ya kufanyia tathmini ya vifaa hivyo.

"Ninaelekeza TCRA waje hapa, watushauri kwa maamuzi sahihi bila haraka, kwa kushirikiana na wadau wote, Simu nyingi zinazotumiwa na wananchi ni feki – unaweza kuona simu nzuri lakini haishiki mtandao, Ni muhimu kuwa na utaratibu mzuri wa kutambua aina ya vifaa vinavyotengenezwa nchini, gharama zake, na viwango vya ubora ili kuwa na Taifa linaloweza kujivunia bidhaa zake," alisema Silaa.

Aidha, Waziri Silaa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kufanya kazi kubwa ya kuimarisha miundombinu ya mawasiliano.

Amebainisha kuwa minara 758 ya mawasiliano imejengwa na mingine 636 inaendelea kujengwa nchi nzima.

Vilevile, mkongo wa Taifa wa mawasiliano tayari umeenea kote nchini na umeunganisha Tanzania na nchi jirani kama Uganda, Malawi, Kenya, Mozambique, na juhudi zinaendelea kuunganisha na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Katika hatua nyingine, Waziri Silaa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara na timu yake kuandaa andiko maalum litakalomshauri kuhusu mahitaji ya nyaya za fiber nchini, likihusisha makampuni yote yanayosambaza huduma za mawasiliano kupitia fiber optic. 

Silaa pia ameeleza kuwa serikali inalenga kuhakikisha huduma za mawasiliano zinawafikia wananchi wote ili waweze kunufaika na TEHAMA katika kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa Taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • SILAA AELEKEZA TCRA KUFIKA RADDY FIBER MKURANGA

    June 18, 2025
  • RC KUNENGE AIPONGEZA MKURANGA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • UWT YAZINDUA KAMPENI YA UTOAJI ELIMU ILANI YA CCM

    June 11, 2025
  • PROFESA NAGU APONGEZA HUDUMA ZA MAABARA MKURANGA

    June 05, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.