• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

ULEGA AZINDUA KITUO CHA AFYA KATA YA MAGAWA

Posted on: August 1st, 2024

Mbunge Jimbo la Mkuranga ambae pia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi  Mhe. Abdallah  Ulega Tarehe 31/07/2024 amezindua kituo cha Afya Kijiji cha Makumbea Kata ya Magawa.

Ulega amempongeza Diwani Kata ya Magawa Mhe. Juma Abeid kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo ambayo inatekelezwa ndani ya Kata yake.

Kituo hicho cha Afya cha Kata ya Magawa kimegharimu kiasi cha shilingi Million 500,000,000 ikiwa ni fedha za Mapato ya ndani ambapo zimewezesha kujenga jengo la OPD, jengo la Maabara na jengo la mama na mtoto.

"Wananchi tunatakiwa kufanya kazi ya ujenzi wa Taifa letu tusiwe na wasiwasi vijana wenu mmetutuma kazi na kazi tunaifanya chini ya Uongozi imara wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pongezi nyingi sana kwa miradi anayotupatia ndani ya Wilaya yetu ya Mkuranga". Amesema Ulega.

Akiwa Kata ya Magawa Ulega ametoa kiasi cha shilingi Million 3 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kata ya Magawa, kiasi cha shilingi 500,000 Ujenzi wa Ofisi ya Kijiji cha Kifumangao, kiasi cha shilingi 500,000 kwa ajili ya kuezeka Darasa shule msingi Mdimni, kiasi cha shilingi Million 1 kwa ajili ya ujenzi wa (Mgundi) kituo cha bodaboda Magawa.

Fedha nyingine ni kiasi cha shilingi laki 500,000 kwa kuwaunga mkono jukwaa la kinamama Kata ya Magawa, kiasi cha shilingi 500,000 kwa ajili ya kikundi cha Wazee na kiasi cha shilingi 200,000 ikiwa ni pongezi kwa Walimu kutoka shule ya Msingi Ng'anje na Kifumangao kwa kufaulisha vizuri mitihani ya Moko.

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.