Vijana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga wametakiwa kuchangamkia fursa ya kilimo biasharana kuacha kukaa na kulalamika juu ya ukosefu wa ajira Maneno hayo yalisemwa na Mrabu wa vijana chini ya Taasisi ya Internaonal Instute of Tropical Agriculture (IITA) Bi. Veronika Kebwe waka wa semina ya mafunzo kwa vijana iliyokua na lengo la kujadiliana fursa mbalimbali zinazopakana kaka kilimo na kuhamasisha teknolojia kuu za kilimo, ikiwa ni pamoja na kuwasaidia vijana kuongeza uwezo kaka teknolojia Taasisi hiyo inayofadhiliwa na Benki ya maendeleo ya Afrika na kuongozwa na Taasisi ya kimataifa ya kilimo cha kitropiki kupia mradi wa vijana kaka kilimo Biashara ilihamasisha vijana hao kujiunga kaka vikundi ili iwe rahisi kuwahudumia Aidha wataalamu kutoka halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, waka wa semina hiyo iliyofanyika kaka ukumbi wa resources centre wilayani hapo na kuwakutanisha vijana na wataalamu wa kilimo na maendeleo walishauri vijana hao kutokaa kusubiri serikali iwaletee maendeleo bali wanatakiwa kuanza kujishughulisha ndipo serikali itaweka mkono wake kuwainua zaidi “Moja ni kuwaunganisha vijana kujiunga kaka vikundi vya uzalishaji kwenye maeneo yao , pili ni kuwa na ujasiri wa kueleza matazo yanayowakabili ili waweze kupawa ufumbuzi wa matazo hayo na la mwisho ni serikali kuwa karibu na vijana kuona tunawasaidiaje ili kujikwamua na matazo ya kiuchumi “ alisema mtaalamu wa Kilimo (mazao) Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga, Bwana Derick Samwel Mradi huo utafanyika kaka nchi 19 barani Afrika kwa mwaka huu na kuanzishwa kwa vituo vya kuatamia vijana (‘incubators’) kaka kilimo biashara zikiwemo nchi za Nigeria, Congo, Benin, Kenya, Tanzania, Uganda, Togo na Zambia Pia taasisi hiyo itafanyia kazi minyororo 9 ya thamani, kwa mazao ya mpunga, ngano, muhogo, uwele, mtama, na ufagaji wa wanyama wadogo na samaki
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.