Timu ya wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga imefanya ziara ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo ndani ya Wilaya ili kuona fursa mbalimbali za Uwekezaji katika sekta ya Utalii kupitia vivutio hivyo ili kuweza kuitangaza Mkuranga na hatimae kuongeza Mapato ndani ya Halmashauri.
Timu hiyo imeweza kufika Kisiju Pwani,Kisiwa cha Chokaa ndogo,Kisiwa cha Kwale,Kisiwa cha Palacha na Boza.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255222928730
Simu ya Mkononi: 0634329394
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2026 MkurangaDc. All rights reserved.