Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt.Selemani Said Jafo atoa rai kwa wawekezaji wa Mkoani Pwani kuacha tabia ya kufungua ofisi na kulipa ushuru wa huduma nje ya Mkoa hali inayochangia kushusha mapato ya halmashauri
Serikali imejadhatiti katika sekta ya uwekezaji wa Viwanda na Biashara hivyo wawekezaji wanatakiwa kushirikiana vyema na serikali tuzidi kukuwa kimataifa zaidi na mazingira ni rafiki kwa wawekezaji na mnakaribishwa sana.
Ameyasema hayo wakati wa kufungua Kongamono la Uwekezaji na Biashara Lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Kibaha Mjini.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.