• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • TASKSMIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Industrial, Trade and Investment
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mawasiliano Serikalini
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Sera
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu za Maombi
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Photo Galley
    • Habari Mpya
    • Matukio

WAZIRI MWAMBE AAGIZA AFISA KAZI AKAGUE VIWANDA MKURANGA...

Posted on: March 16th, 2021


Waziri wa Viwanda na Biashara Geofrey Mwambe amemtaka Afisa Kazi Mkoa wa Pwani kuhakikisha anatembelea kiwanda cha Everwell  Cable kilichopo Wilayani Mkuranga ili kukagua uwepo wa wataalamu wazawa wakiwemo Wahandisi.

Akizungumza kwenye Ziara ya Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira iliyotembelea kiwanda hicho kinachozalisha vifaa vya umeme leo 17/3/2021 Mwambe alisema Serikali inahamasisha  Serikali inahamasisha uwepo wa Viwanda kote Nchini ili Pamoja 5na kukusanya kodi lakini pia wazawa wapate ajira na kuboresha Maisha yao.

Kiongozi huyo ambaye pia Mbunge aliwageukia Maafisa uhusiano viwandani wajikite katika kuwasaidia wafanyakazi wazazi wazawawapate haki zao za msingi zikiwemo ajira, mishahara kwa wakati na likizo

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati hiyo David Kihenzile alimtaka Mwekezaji huyo kutoka China kutafuta soko la bidhaa zake nje ya Nchi badala ya kutegemea (TANESCO) ambayo itapunguza waigizaji baada kumaliza kusambaza umeme Nchi nzima.

Naye Mbunge wa Jimbo la Biharamulo ambaye pia Mjumbe wa Kamati Mhandisi Ezra Chiwelesa alivipongeza Viwanda Vinavyowatumia Wahandisi  toka hapa  Nchini huku akitoa ushuhuda wameiva kinadharia na Vitendo kufuatia serikali na Nchi  Wahisani kuviboresha vyuo vya kati na elimu ya juu.

Akitoa neno la shukrani Meneja wa kiwanda Zitai Chen alisema watafanyia kazi changamoto mbali mbali huku akijipanga kusambaza vifaa vyao vya umeme kote Nchini.

Ziara hiyo imeambatana na kaimu mkuu wa wilaya ambeye pia ni katibu Tawala Bi Veronica Kinyemi na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Peter Nambunga sambamba na Wakuu wa Idara

Matangazo

  • TANGAZO LA VITUO VYA USAILI January 21, 2025
  • ORODHA YA MAJINA YA WAANDISHI NA WAENDESHA VIFAA January 21, 2025
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • MADIWANI MKURANGA WAPITISHA TAARIFA YA MAENDELEO ROBO YA TATU

    April 29, 2025
  • KIJANA WA MLENGWA WA TASAF ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

    March 03, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA IMEFANYA UZINDUZI WA MIRADI YA (TI)

    March 01, 2025
  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA

    February 10, 2025
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.