Kitengo cha uchaguzi Kinafanya kazi kwa kufuata kanuni na taratibu za Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi.
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UCHAGUZI
1. Kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unaendeshwa katika mazingira ya uhuru, haki na amani.
2. Kuwezesha, kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura na kupitia orodha ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Mpiga kura.
3.Kuwezesha, kusimamia,na kuendesha uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, na uchaguzi wa serikali za mtaa.
4. Kuhakikisha ngazi zote za uongozi zina wawakilishi kama kanuni zinavyotaka.
5. Kupiti mipaka yote ya majimbo/maeneo ya uchaguzi nchini kwa lengo la uchaguzi Mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa.
6. Kuwezesha na kuhamasisha jamii juu ya masuala ya uchaguzi.
7. Kusimamia na kufanya tathmini mchakato wote wa uchaguzi katika maeneo ya uchaguzi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.