• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
    • Tasks MIS |
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Rasimali watu na Utawala
      • Idara ya fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Mipango,Sera na Takwimu
      • Ardhi na Maliasilli
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Mazingira na Usafi
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Uongozi
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Ardhi
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi Au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Karibu kwenye Tovuti yetu

karibu kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga!

Kwa niaba ya Watumishi na Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, ninayo furaha kubwa  kukukaribisha katika tovuti hii ambapo tunaimani kubwa utapata taarifa za kuaminika za shughuli zinazofanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Kama taasisi ya Serikali tunaamini katika uwazi,ukweli na uwajibikaji kwenye utendaji wetu wa kila siku.

Mkuranga ni moja ya Wilaya iliyoitikia wito wa Mh.Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ya kuwa nchi ya Viwanda.Tumetenga na kubainisha  maneneo mbalimbali ya uwekezaji ikiwemo eneo la Dundani, Mkiu na Mbezi.

Aidha kwa kutambua umuhimu wa wateja  tunaowahudumia zipo taarifa mbalimbali mfano maeneo ya uwekezaji, Utalii, miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali na fomu mbalimbali ambazo zinakuwezesha kupata huduma moja kwa moja kwenye tovuti.


Hii inahusisha upatikanaji wa leseni za biashara na leseni za vileo na taarifa mbalimbali. Ni matumaini yangu utatumia tovuti hii kupata taarifa muhimu na kwa malalamiko,mapendekezo basi usisite kuwasiliana nasi na kutumia tovuti yetu kutoa malalamiko yako nasi tutakufikia.

Karibu Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Wilaya  yenye fursa za maendeleo kwako na kwa Taifa.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA UALIMU YA MUDA MFUPI March 23, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA LA III March 21, 2023
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA July 03, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA April 14, 2022
  • Tazama vyote

Habari Mpya

  • DED akutana na viongozi sekta ya Elimu Mkuranga

    January 15, 2023
  • Madiwani Mkuranga Wapitisha Bajeti ya TARURA

    December 22, 2022
  • Mkurugenzi Mkuranga akabidhi Madarasa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga

    December 20, 2022
  • DED Mkuranga afanya ziara kukagua madarasa mapya ya sekondari

    December 19, 2022
  • Tazama vyote

Video

SIMAMIENI MAADILI
Video Zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Fomu ya Ruhusa ya Ugonjwa kwa Watumishi (Sick Sheet Form)
  • FFARS user manual
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • uchaguzi wa wanafunzi kujiunga kidato cha kwanza 2020/2021 Mkuranga
  • Barua pepe za ofisi za watumishi
  • Fomu ya Likizo kwa Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa kwa Watumishi
  • Fomu ya Maombi ya Leseni ya Biashara

Tovuti Linganifu

  • TAMISEMI
  • e-GA
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Ajira
  • Ikulu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Baraza la Mitihani la Tanzania
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
  • Mkuranga Tasks Management Information System (Tasks MIS)

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga

    Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania

    Telephone: +255232110038

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma zetu

Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.