Friday 26th, April 2024
@Hospitali ya Wilaya
Mganga Mkuu wa Wilaya kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Mkuranga anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Mkuranga hasa wazazi wenye watoto wa kike wenye umri wa miaka 14 hadi 19 kupeleka watoto wao katika Kituo cha Afya kilichokaribu nawe.
Uzinduzi wa chanjo hii umezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga katika Hospitali ya Wilaya, Chanjo hii inatolewa bure bila malipo yoyote.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.