MAJUKUMU YA SEKTA YA ARDHI
Sekta ya Ardhi ina jukumu la kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Kanuni zinazohusiana na masuala mbalimbali ya upatikanaji wa Ardhi, upangaji, upimaji na umilikishwaji .Katika kutekeleza jukumu hili kubwa na muhimu, sekta hii inatimiza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria ya Ardhi Na.4 na 5 za 1999, Sheria ya Upimaji Ardhi ya 1957,Sheria ya Mipango Miji Na.8 ya 2007, Sheria ya Utwaaji Ardhi Na.47 ya 1967, Sheria ya Usajili wa Ardhi iliyorekebishwa mwaka 2002, Sheria ya mipango ya matumizi bora ya Ardhi ya 2007, Sheria ya utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Na.2 ya 2002 na kanununi zake za 2003, Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Wilaya) ya 1982 na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Mji) ya 1982 n.k.
Sheria hizi pamoja na Kanuni zake ni miongozo inayowezesha na kurahisisha utendaji na utekelezaji wa majukumu kwa wataalam wote katika hali ya ufanisi na kwa viwango bora visivyo na tofauti,hata hivyo, kujituma, uaminifu , uadilifu na mawasiliano ya karibu kati ya watendaji ni mbinu pekee ya ufanisi unaopatikana sambamba na huduma bora kwa wananchi.
Majukumu ya kila sekta, malengo, utekelezaji na changamoto yameainishwa kama ifuatavyo
ARDHI UTAWALA
MIPANGO MIJI
Kupima viwanja katika maeneo mbalimbali Wilayani Mkuranga kama Kisemvule,Mkokozi, Kazole.
Sehemu ya Uthamini
Majukumu ya mthamini ni:
Majukumu ya afisa misitu ni kama ifuatavyo:
Sehemu ya wanyamapori
Majukumu ya afisa wanyamapori ni:
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.