TAARIFA YA HALI YA TAALUMA – ELIMU MSINGI
MAFANIKIO
Mafanikio ya taaluma katika Idara ya Elimu Msingi yaliyopatikana katika miaka miwili ni pamoja na:
MWAKA
|
WALIOFANYA MTIHANI
|
WALIOFAULU
|
%
|
WALIOCHAGULIWA
|
%
|
||||||
|
WAV
|
WAS
|
JML
|
WAV
|
WAS
|
JML
|
|
WAV
|
WAS
|
JML
|
|
2016
|
2,460
|
3165
|
5625
|
1502
|
1880
|
3382
|
60.12
|
1502
|
1880
|
3382
|
60.12
|
2017
|
2832
|
3353
|
6185
|
1774
|
2213
|
3987
|
64.46
|
1774
|
2213
|
3987
|
64.46
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
MIKAKATI ILIYOCHANGIA KUINUA KIWANGO CHA TAALUMA
Elimu ya awali
Kuongezeka kwa madarasa ya Elimu Awali kutoka 99 mwaka 2015 mpaka kufikia 107 mwaka 2017
Kuongezeka kwa uandikishaji kutoka 3442 mwaka 2015 mpaka kufikia 4360 mwaka 2017 na 4447 mwaka 2016.
Elimu ya msingi
Ongezeko la uandikishaji kutokana na Kutangazwa kwa Elimu Bure.
Jedwali namba 1 linaonyasha Hali ya uandikishaji wa watoto Darasa la Kwanza kutoka 2015.
Jedwali 1: Hali ya Uandikishaji wa watoto Darasa la Kwanza
mwaka
|
maoteo |
waliandikishwa |
Asilimia |
2015
|
10,623 |
10561 |
99 |
2016
|
10725 |
15144 |
141% |
2017
|
10904 |
13196 |
121% |
|
|
|
|
Kuongezeka kwa mahudhurio ya wanafunzi kutoka 53105 mwaka 2015,60755 mwaka 2016 na 65847mwaka 2017
Elimu Maalum:-
Kuimarika kwavitengo vya Elimu maalum na Elimu Jumuishi. Hadi mwaka 2017 wilaya ina vitengo vinne (4) vya elimu maalum katika shule za msingi na shule zote 124 za msingi zinazoendeshwa kwa mfumo wa elimu jumuishi; unaojumuisha wanafunzi wenye ulemavu wa akili na kusikia (viziwi).
1.4. MIUNDOMBINU YA SHULE ZA MSINGI
Ongezeko la miundombinu katika shule za msingi
Mwaka 2015 kulikuwa na madarasa 682, . Mwaka
2017 mahi madarasa yaliyopo ni 761 .
Ongezeko la shule kutoka 116 mwaka 2015 mpaka kufikia 124 mwaka 2017
Ongezeko la nyumba za walimu kutoka 241 mpaka kufikia 246 mwaka 2017
Ongezeko la. Matundu ya Vyoo kutoka 1,041Mwaka 2016 kufikia matundu ya vyoo 1163 mwaka 2017
Ongezeko la Madawati kutoka 12,075 kufikia madawati 19409 mwaka 2017.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.