Wakuu wa Idara mbali mbali wakishuhudiano mapokezi ya gari ya idara ya ujenzi
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Mwantumu Mgonja tarehe 19/11/2021 amemkabidhi gari Mkuu wa idara ya ujenzi Ndg. Martin Vicent, gari yenye thamani ya Tshs. 92.3 milioni. Gari hili limenunuliwa kutokana na makusanyo ya fedha za ndani.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.