3/11/2021 Hatua ya uchimbaji wa msingi
4/11/2021 kumwaga zege la msingi
3/11/2021 muendelezo kuchimba msingi
5/11/2021 kujenga kozi za awali kwenye msingi baada ya jamvi la msingi
7-9/11/2021 ijenzi upo hatua ya kujanza kifusi kabla ya kupanga mawe
14/11/2021 ujenzi upo hatua ya kupanga mawe kwa ajili ya jamvi
18/11/2021 ujenzi upo hatua ya jamvi
19/11/2021 ujenzi upo hatrua ya kunyanyua kuta baada ya jamvi
21/11/2021 ujenzi upo hatua ya kuweka linta
23/11/2021ujrenzi upo hatua ya kukamilisha zege la linta
24/11/2021ujenzi ukiwa hatua ya gebo
25/11/2021 ujenzi upo hatua ya gebo, ukuta unamwagiliwa maji kuimarisha na tayari kwa hatua ya kupaua
14/12/2021 hatua ya skiming
14/12/2021 hatua ya skiming
20/12/2021 HATUA YA KUPAKA RANGI NJE IMEKAMILIKA
20/12/2021 HATUA YA KUPAKA RANGI NDANI IMEKAMILIKA
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.