13/11/2021 Ujenzi wa msingi umekamilika
UCHIMBAJI WA MSINGI 11/11/2021
Ujazaji wa kifusi kwenye msingi 14-15/11/2021
Upangaji wa mawe, kumwagilia kifusi na usukaji wa nondo tarehe 16-19/11/2021
20-22/11/2021 zoezi la kumwaga zege kwa ajili ya jamvi na kulimwagilia maji ili kuweka uimara.
5/12/2021 HATUA YA KUWEKA KENCHI
6/11/2021 HATUYA YA KUEZEKA INAENDELEA
7/11/2021 HATUA YA KUPAUA IMEMALIZIKA
18/11/2021 hatua ya rangi
17/12/2021 uingozaji wa furniture
19/12/2021 ujenzi umekamilika asilimia 100
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.