8-14/11/2021 kuseti,kuchimba msingi,kumwaga zege a kwenye msingi, na kujenga tofali za msingi
15/11/2021 kupanga mawe kwenye msingi
16/11/2021 kumwaga zege la jamvi
20/11/2021 ujenzi wa kuta za madarasa
22/11/2021 hatua ya kupandisha kuta hadi kwenye linta
hatua ya kufunga boksi za linta
25/11/2021 hatua ya kumwaga zege kwenye linta
6/12/2021 ujenzi upo hatua ya plasta
17/12/2021ujenzi upo hatua ya umaliziaji
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
Postal Address: P. O. Box 10, Mkuranga, Pwani, Tanzania
Telephone: +255232110038
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@mkurangadc.go.tz; ded.mkuranga@pwani.go.tz
Copyright ©2023 MkurangaDc. All rights reserved.